Waziri wa Habari , Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa akiwa katika Hoteli ya Gran Mellia jijini Arusha linapofanyika kongamano la TEHAMA la Connect 2 Connect ambapo yeye ndiye mgeni rasmi.
Mada mbalimbali zinazohusu TEHAMA zinatarajiwa kuwasilishwa kwenye kongamano hili ambalo litafanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia leo Septemba 18 hadi Setemba 19 ,2024 .
WAZIRI SILAAA KATIKA KONGAMANO LA CONNECT 2 CONNECT .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 18, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 18, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment