Mh Godwin Mollel mbunge siha amfanya Halima Mdee kupoteza muelekeo Bungeni

Mbunge wa jimbo la Siha Dokta  Godwin Mollel amemfanya Mbunge wa Kawe Halima Mdee kwa kupoteza muelekeo  baada ya spika wa bunge kuumpa Mdee nafasi ya kuchangia akaanza kumshambulia rais pamoja na kuonyesha kuwa serikali imeshindwa kuwekeza vizuri kwa namnamna ambayo italeta.

Kufuatia hayo ndipo mbunge wa Siha dr Mollel alipompa taarifa mh Mdee na kumwambia kuwa pamoja na yeye kuonyesha kuwa serikali haiwekezi kwa tija  lakini yeye Mdee ni kiongozi ndani ya chama kilicho pata ruzuku zaidi ya ya bilioni 10 na kila mwezi kinapata milioni 73 kwa mwezi kama michango ya wabunge lakini kimeshindwa hata kumiliki hata kibanda kimoja cha biashara na leo ruzuku ikifutwa chama hicho hakitaweza hata kulipa muhudumu wa ofisi l.

Dr Mollel amesisitiza kuwa Halima Mdee hana hadhi ya kusemea uwekezaji wenye tija kwani yeye ni mojawapo ya wasiojulikana waliosababisha 100% ya fedha za CHADEMA KUPOTEA na mpaka sasa hawajatoa maelezo zilipo ,ndipo  mh halima mdee alipo poteza mwelekeo na kuanza kutokwa na matusi na kumwita Dr Mollel Dr Shika nae mbunge huyo wa siha akasema kweli mimi ni Dr shika nimemshika vizuri halima mdee na tunamazao pamoja namshukuru kwa kipindi tulichotengana ajanipeleka kwa MAKONDA akamwahidi Halima Hdee akirudi nyumbani na kuendelea kutoa huduma na kumshika vizuri kama PHD ALIYO MTUNUKU INAVYOTAKA.

Mh Godwin Mollel mbunge siha amfanya Halima Mdee kupoteza muelekeo Bungeni Mh  Godwin Mollel mbunge siha amfanya Halima Mdee kupoteza muelekeo Bungeni Reviewed by KUSAGANEWS on April 24, 2018 Rating: 5

No comments: