MKUTANO WA MWAKA WA MAAFISA USTAWI WA JAMII.











Washirika mbalimbali wakiwa kwenye mkutano wa mwaka wa  Maafisa Ustawi wa Jamii unaofanyika katika ukumbi Shule ya Polisi Tanzania (TPS)  Moshi mkoani Kilimanjaro leo Septemba 17,2024 .


Mgeni rasmi katika mkutano huo ni Naibu Waziri wa Fedha  Hamad Hassan  Chande .


Kauli mbiu ya mkutano huo wa mwaka wa Maafisa  Ustawi wa Jamii ni 'Tanzania  bila ukatili inawezekana ,imarisha mahusiano chanya ya familia . 

MKUTANO WA MWAKA WA MAAFISA USTAWI WA JAMII. MKUTANO WA MWAKA WA MAAFISA USTAWI WA JAMII. Reviewed by KUSAGANEWS on September 18, 2024 Rating: 5

No comments: