KONGAMANO LA CONNECT 2 CONNECT ARUSHA .













 Washiriki mbalimbali  wakiwa kwenye kongamano la TEHAMA la Connect 2 Connect linalofanyika katika Hoteli ya Gran Melia jijini Arusha . 


Mada mbalimbali zinazohusu TEHAMA zinatarajiwa kuwasilishwa kwenye kongamano hili ambalo litafanyika kwa muda wa siku mbili kuanzia leo  Septemba 18 hadi 19 2024 .


Mgeni rasmi katika kongamano hili ni Waziri wa Habari , Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa.

KONGAMANO LA CONNECT 2 CONNECT ARUSHA . KONGAMANO LA CONNECT 2 CONNECT  ARUSHA . Reviewed by KUSAGANEWS on September 18, 2024 Rating: 5

No comments: