Ujenzi wa Daraja la JP Magufuli (Kigogo - Busussi )lenye urefu wa kilometa tatu linalojengwa kuunganisha barabara kuu ya Usagara -Sengerema - Geita katika Ziwa Victoria ,lipo mbioni kukamilika ,kwani kimebaki kipande cha mita mbili kuunganishwa .
Hayo yameelezwa jana Jumanne Setemba 17,2024 mkoani Mwanza na waziri wa ujenzi ,Innocent Bashungwa alipokuaga ujenzi wa daraja hilo unaoenda sambamba na ujenzi wa barabara unganishi zenye urefu wa kilometa 1.66 upande wa kigogo na Busisi.
UJENZI DARAJA LA MAGUFULI MBIONI KUKAMILIKA ,BADO MITA MBILI .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 18, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 18, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment