AHMED ALLY ;SHIRIKISHO MICHUANO BORA KULIKO MINGINE .














Meneja wa habari na mawasiliano klabu ya Simba ,Ahmed Ally amesema kuwa sasa mashindano yote kimataifa hayana mvuto kama ilivyo kwa michuano ya kombe la shirikisho ambapo timu ya Simba Inashiriki .


Ahmed Ally amesema hayo alfajiri ya leo kwenye Uwanja wa Kimataifa wa Ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam alipokuwa akiwasili amoja na timu nzima na benchi la ufundi kutokea nchini Libya . 

AHMED ALLY ;SHIRIKISHO MICHUANO BORA KULIKO MINGINE . AHMED ALLY ;SHIRIKISHO MICHUANO BORA KULIKO MINGINE . Reviewed by KUSAGANEWS on September 18, 2024 Rating: 5

No comments: