Meneja habari na mawasiliano wa klabu ya Simba Ahmed Ally amefunguka kuhusiana na vurugu walizofanya wakati wa mchezo wao wa kafuzu hatua ya makundi dhidi ya Al Ahli -Tripoli ya Libya ambapo wachezaji pamoja na benchi la Ufundi walirushiwa makopo na mashabiki waliojitokeza uwanjani ili kushuhudia mchezo huo ambao walitoka suluhu.
Ahmed ameyasema hayo Alfajiri ya leo kwenye uwanja wa kimataifa wa ndege wa Julius Nyerere jijini Dar es Salaam alipokuwa akiwasili pamoja na timu nzima na benchi la ufundi kutokea nchini Libya .
AHMED ALLY; VURUGU NI KAWAIDA KWENYE MPIRA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 18, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 18, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment