MCHENGERWA AAGIZA UBAINISHAJI WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU .













Waziri  wa Nchi , Ofisi ya Rais -TAMISEMI  Mohammed mchengerwa amewaagiza wakuu wa Mikoa na Wilaya kuhakikisha wanasimamia zoezi la ubainishaji wa watoto wenye mahitaji maalumu ili waweze kupata fursa ya elimu 


Akifungua maadhimisho ya miaka 30 ya elimu jumuisha Patandi Jijini Arusha Mchengerwa amewaagiza Wakuu wa Mikoa na Wakuu wa Wilaya kupitia kamati za ulinzi na Usalama kufuatilia wazazi wanaowaficha watoto wenye mahitaji maalumu ili waweze kupata elimu kama stahiki ya  mtoto wa  kitanzania  

MCHENGERWA AAGIZA UBAINISHAJI WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU . MCHENGERWA AAGIZA UBAINISHAJI WATOTO WENYE MAHITAJI MAALUMU . Reviewed by KUSAGANEWS on September 18, 2024 Rating: 5

No comments: