Waziri wa Habari ,Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Jerry Silaa amwataka washiriki wa kongamano la mwaka la C2C kujadii wa kina namna bora ya kuunganisha nchi za Afrika katika miundombinu ya kidijitali ili ichochee na kuwezesha maendeleo endelevu ya kiuchumi .
Akihutubia katika kongamano hilo jijini Arusha , Waziri Silaa amesema Tanzania imeweka mifumo kadhaa ya kisheria na udhibiti inayoongoza sekta ya mawasiliano na TEHAMA ili kuhakikisha huduma ya intaneti ya kasi inawafikia waananchi wote .
Vilevile amesema Serikali inaendelea kuhakikisha usalama katika matumizi ya mtandao kwa wananchi na wadau wote wa ndani na nje ya nchi .
WAZIRI SILAA; TUNAHITAJI KUIUNGANISHA AFRIKA KIDIJITALI.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment