WAZIRI SILAA AVUNJA BODI YA WAKURUGENZI TSN.













Waziri wa Habari , Mawasiliano na Teknolojia ya Habari , Jerry Siaa amevunja Bodi ya Wakurugenzi ya Kampuni ya Magazeti ya Serikali (TSN) kuanzia Septemba 18 


Taarifa ya Wizara ya Habari , Mawasiliano na Teknolojia ya Habari  imesema kuwa uwamzi huo ni kwa mujibu wa Sheria ya Mashirika ya Umma nO 2 ya mwaka 1992 

WAZIRI SILAA AVUNJA BODI YA WAKURUGENZI TSN. WAZIRI SILAA AVUNJA BODI YA WAKURUGENZI TSN. Reviewed by KUSAGANEWS on September 19, 2024 Rating: 5

No comments: