Waziri wa Mambo ya Ndan , Hamad Masauni (kushoto )akiwa Mwenyekiti wa Chadema , Freeman Mbowe wakiwa Nyumbani kwa aliyekuwa mjumbe wa sekretarieti ya Chama hicho , Ali Kibao ,eneo la usagara mkoani Tanga kwa ajili ya kushiriki maziko ya kiongozi huyo yatakayofanyika leo Jumatatu ,Septemba 9,2024 saa 7 mchana .
Kibao alichukuliwa jioni ya Septemba 6,2024 eneo ya Kibo Complex Tegeta jijini Dar es Salaam ,akiwa safarini kutoka Dar es Salaam kuelekea Tanga na basi la Tashriff na kuchukuliwa na watu wasiojulikanana mwili wake kupatikana jana Jumapili Septemba 8,2024 eneo la Ununio, Dar es Salaam.
WAZIRI MASAUNI ,MBOWE WAKIWA MSIBANI KWA KADA WA CHADEMA ALIYEUAWA.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 09, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 09, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment