Mwenyekiti wa Chadema Kanda ya Kaskazini Godbless Lema amewataka Watanzania kukemea matukio ya utekaji kama ilivyotokea kwa aliyekuwa kada wa chama hicho ,Ali Kibao.
Lema amesema hayo leo Jumatatu Septemba 9,2024 baada ya kuwasili msibani kwa Kibao mkoani Tanga .
Mwili wa Kibao unatarajiwa kuzikwa leo ,saa 7 mchana maeneo ya Sahale njia kuelekea Pangani
LEMA AMEWATAKA WATANZANIA KUKEMEA MATUKIO YA UTEKAJI.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 09, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 09, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment