WAOMBOLEZAJI WAKATISHA HOTUBA YA WAZIRI MASAUNI ,WAMTAKA AONDOKE ,MBOWE AWATULIZA .














 Vurugu imetokea wakat hotuba zikiendelea katika msiba wa aliyekuwa kada wa Chadema ,Ali Kibao nyumbani kwake mkoani Tanga ,wakati Waziri wa mambo ya Ndani, Hamad Masauni akihutubia wananchi.


Kelele hizo zimeibuka zikimtaka Waziri Masauni kujiuzulu nafasi yake kutokana na matukio ya kutekwa yanaoendelea nchini.


Hata hivyo , Mwenyekiti wa Chadema ,Freeman Mbowe aliwatuliza wananchi hao na kuwaomba kumuacha Waziri Masauni kumaliza hotuba yake na alifanikiwa kuimaliza hotuba hiyo.

WAOMBOLEZAJI WAKATISHA HOTUBA YA WAZIRI MASAUNI ,WAMTAKA AONDOKE ,MBOWE AWATULIZA . WAOMBOLEZAJI WAKATISHA HOTUBA YA WAZIRI MASAUNI ,WAMTAKA AONDOKE ,MBOWE AWATULIZA . Reviewed by KUSAGANEWS on September 09, 2024 Rating: 5

No comments: