WATAKIENI HERI WANAFUNZI WA DARASA LA SABA WANAOANZA MITIHANI YAO LEO .








 Baraza la Mitihani wa Taifa (NECTA )limetangaza kuanza kwa mitihani ya kuhitimu shule ya msingi kwa wanafunzi wa darasa la saba nchini inayoanza leo Jumatano  Septemba 11 ,2024 na kumalizika kesh Septemba 12,2024 

WATAKIENI HERI WANAFUNZI WA DARASA LA SABA WANAOANZA MITIHANI YAO LEO . WATAKIENI HERI WANAFUNZI WA DARASA LA SABA WANAOANZA MITIHANI YAO LEO . Reviewed by KUSAGANEWS on September 11, 2024 Rating: 5

No comments: