NCHI 78 NDANI YA JNICC ,MKUTANO WA 8 WA OACPS.












 Dar es Salaam ;Mkutano wa nane wa Mawaziri wa Nchi   Wananchama wa Jumuiya ya Nchi za Afrika ,karibia na Pasifiki (OACPS)unaendelea leo katika kituo cha Mkutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC)jijini Dar es Salaam .


Mataifa 78 yameshiriki  mkutano huu unaangazia Sekta ya Uvuvi na Uchumi wa Buluu tangu hapo Septemba 9 hadi 11 kisha kufuatiwa na kongamano la kimataifa kuhus Mikakati ya Uboreshaji wa Mnyororo wa Uzalishaji wa Vyakula vya Majini (Aquatic  Food Value  Chain ) linaloandaliwa na shirika la chakula Duniani (FAO)kuanzia  Septemba 12-13 mwaka huu. 

NCHI 78 NDANI YA JNICC ,MKUTANO WA 8 WA OACPS. NCHI 78 NDANI YA JNICC ,MKUTANO WA 8 WA OACPS. Reviewed by KUSAGANEWS on September 11, 2024 Rating: 5

No comments: