RAIS Samia Suluhu Hassan anatarajiwa kufungua Mkutano wa Nane wa Mawaziri wa Nchi Wanachama wa Jumuiya ya Nchi za Afrika ,Karibiani na Pasifiki (OACPS).
Mataifa 78 yanashiriki mkutano huu unaangazia Sekta ya Uvuvi na Uchumi wa Buluu tangu hapo Septemba 9 hadi 11 kisha kufuatiwa na kongamano la kimataifa kuhusu Mikakati ya Uboreshaji wa Mnyororo wa Uzalishaji wa Vyakula vya Majini linaloandaliwa na Shirika la Chakula Duniani (FAO) kuanzia Septemba 12 -13 katika Kituo cha Mikutano cha Kimataifa cha Julius Nyerere (JNICC) jijini Dar es Salaam
RAIS SAMIA KUFUNGUA MKUTANO WA 8 WA OACPS.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 11, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 11, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment