Meneja wa Habari na Mawasiliano wa Simba Ahmed Ally ,ametamba kuwa kiungo Yusuph Kagoma ni mchezaji halali wa klabu hiyo kwami TFF imeshawapa leseni ya kumtumia .
Ameongeza , mchezaji huyo bado ni kijana mdogo ,na timu zinazomtaka zitapaswa kuvumilia hadi pale Simba itakaporidhika kuwa amekitumikia kikosi vya kutosha ,ndipo watakapokuwa tayari kumuachia .
SIMBA YAFUNGUKA ISHU YA KIGOMA ,YASEMA WATASUBIRI SANA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 11, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 11, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment