Makundi ya wafuasi wa vyama vya siasa ,viongozi wa Chadema na ACT -Wazalendo wakiwa nyumbani kwa aliyekuwa kada ya Chadema ,Ali Kibao katika eneo la usagara mkoani Tanga kwa ajili ya kushiriki mazishi ya kiongozi huyo .
Mwili wa Ali Kibao unatarajiwa kuzikwa leo Septemba 9,2024 saa 7 mchana, maeneo ya Sahala njia ya kuelekea Pangani .
HALI ILIVYO MSIBANI KWA ALI KIBAO,LEMA ,MNYIKA WASHIRIKI DUA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 09, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 09, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment