Naibu Mkuu na Waziri wa Nishati ,Dkt Doto Biteko amesema uwepo wa reli ya kisasa na ya kwanza Afrika Mashariki na kati inayoendeshwa kwa nishati ya umeme (SGR)na yeye mwendo kasi usioppungua kilometa 160 kwa sasa ni kiashiria kuwa Nchi ya Tanzania ina umeme wa kutosha .
Biteko amesema hayo leo Septemba 12,2024 mara baada ya kuwasili Jijini Dodoma akitokea Dar es Salaam kwa kutumia usafiri.wa SGR.
SGR INAASHIRIA UMEME UNATOSHA TANZANIA.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 12, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 12, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment