Jeshi la Polisi Mkoa wa Mtwara linawashikilia watu wawili kwa tuhuma za mauaji katika matukio mawili tofauti ambapo watuhumiwa hao ,kila mmoja alitumia kipande cha mti kumshambulia mwenzake na kusababisha kifo chake .
Akizungumza na waaandishi wa habari ofisini kwake leo Septemba 12,2024 Kaimu wa Polisi Mkoa wa Mtwara ,amesema watu hao walipigwa na vipande vya mti ,hivyo kujeruhiwa na kusababisha vifo vyao .
WAWILI MBARONI MTWARA KWA MADAI YA KUUA ,MMOJA AKIMTUHUMU MKEWE KUCHEPUKA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 12, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 12, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment