SERIKALI KUPITIA UPYA MIKATABA YA UBINAFSISHAJI VIWANDA.












Serikali imeanza mchakato wa kupitia mikataba ya ubinafsishaji wa viwand vya mazao ili kuangalia kama vilikidhi masharti wakati vinauzwa .


Hayo yamesemwa leo Jumatano Septemba 4,2024 na Waziri wa kilimo , Hussein Bashe wakati akijibu swali la mbunge wa Tunduru Kaskazini (CCM) Hassan Kungu .


Kungu amesema moja ya sababu ya kibinafsisha kiwanda ni kupata mwekezaji anayeweza kukiendesha. 

SERIKALI KUPITIA UPYA MIKATABA YA UBINAFSISHAJI VIWANDA. SERIKALI KUPITIA UPYA MIKATABA YA UBINAFSISHAJI VIWANDA. Reviewed by KUSAGANEWS on September 04, 2024 Rating: 5

No comments: