RAIS SAMIA NA VIONGOZI WENGINE FOCAC CHINA .










Rais wa Tanzania ,Dkt Samia Suluhu Hassan akiwa kwenye picha ya pamoja na Wakuu wa Nchi na Serikali wanaoshiriki Mkutano wa Jukwaa la Ushirikiano kati ya china na Afrika (FOCAC) katika ukumbi wa The Great Hall of the people Jijini Beijing nchini China leo Septemba  05,2024 ambao leo amewahutubia  viongozi hao. 

RAIS SAMIA NA VIONGOZI WENGINE FOCAC CHINA . RAIS SAMIA NA VIONGOZI WENGINE FOCAC CHINA . Reviewed by KUSAGANEWS on September 05, 2024 Rating: 5

No comments: