Rais wa Tanzania , Samia Suluhu Hassan na ujumbe wake wamefanya kikao cha amoja na Rais wa China ,Xi Jining katika ukumbi wa The Great Hall of the eople jijini Beijing ,leo Jumatano , Septemba 4,2024 .
Pia , marais hao na Rais wa Zambia , Hakainde Hichilema wameshuhudia uwekaji saini wa hati ya makubaliano ya kuboresha Reli ya Tanzania na Zambia (Tazara ) . Picha na Ikulu .
RAIS SAMIA AKUTANA NA RAIS WA CHINA XI JINPING.,KUBORESHA RELI YA TAZARA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 04, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 04, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment