Msemaji wa Jeshi la Polisi nchini DCP David Misime amewatahadhaarisha wananchi kutojihusisha na maandamano yanayopangwa kufanya na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ). akisema maandamano hayo ni haramu .
Misime amewataka wananchi wa Dar es Salaam ambako maandamano hayo yameangwa kufanyika kuendelea na shughuli zao na kuliachia jeshi kuendelea na uchunguzi dhidi ya matukio yanayoendelea ikiwa ni pamoja na utekaji wa watu na watu kupotea na baadaye kubainika wamedhurika ama kuuawa.
POLISI YAPIGA MARUFUKU MAANDAMANO YA CHADEMA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 13, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 13, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment