POLISI YAENDA OPERESHENI KAMATA WALEVI USIKU .










  Polisi mkoa wa Arusha  wameendesha Operesheni ya kukagua magari ya abiria na mizigo usiku kubaini makosa na uzembe unaoweza hatarisha  uhai wa watumiaji wa barabara na wao wenyewe .


Katika Operesheni iliyofanyika usiku kuamkia leo katika maeneo ya Arumeru mkoani Arusha ,Askari wa kikosi cha usalama barabarani wamekagua kiwango cha abiria ndani ya basi na mwendokasi wa magari ya abiria .

POLISI YAENDA OPERESHENI KAMATA WALEVI USIKU . POLISI YAENDA OPERESHENI KAMATA WALEVI USIKU . Reviewed by KUSAGANEWS on September 20, 2024 Rating: 5

No comments: