Waziri wa Kilimo ,Hussein Bashe ametangaza vita dhidi ya wauzaji wa mbegu feki mahindi ,na kubainisha kuwa Serikali itachukua hatua kali dhidi ya wataobainika .
Bashe amebainisha hayo jana Jumatano Septemba 18,2024 katika vituo vya uuzaji wa mahindi vya Kizuka na Mgaziniwa wakati akitangaza mpango wa Serikali kutoa mbegu za Mahindi za ruzuka kwa wakulima nchini kote katika msimu wa kilimo wa 2024 -2025 .
Tangazo hilo limetolewa siku chache kabla ya ziara ya Rais Samia Suluhu Hassan mkoani Ruvuma inayotarajiwa kuanza Ijumaa Septemba 20,2024.
VITA DHIDI YA WAUZAJI MBEGU FEKI ,BASHE ATOA DARASA KWA WAKUIMA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment