POLISI AKIVUTA PIKPIKI KWA MENO.













Askari Polisi akivuta na kuzuia pikpiki kwa  kutumia meno wakati wa onesho la mapigano ya kujihami katika viwanja vya Shule ya Polisi Tanzania - Moshi mkoani Kilimanjaro ,ikiwa ni sehemu  ya kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi leo Septemba 17 ,2024 

POLISI AKIVUTA PIKPIKI KWA MENO. POLISI AKIVUTA PIKPIKI KWA MENO. Reviewed by KUSAGANEWS on September 17, 2024 Rating: 5

No comments: