Shughuri mbalimbali za maandalizi ya kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi nchini Tanzania zikiendelea katika viwanja vya Shule ya Polisi Tanzania (TPS)zamani CCP ,Wilaya ya Moshi mkoani Kilimanjaro .
Sambamba na maadhimisho hayo Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki ufungaji wa mkutano mkuu wa mwaka wa maofisa wakuu wandamizi wa Jeshi hilo .
Tayari gwaride maalumu lipo uwanjani kwenye maadhimisho hayo ,viongozi mbalimbali wa Serikali na Chama ,viongozi wa dini ,wakuu mbalimbali wa idara na taasisi.
MAADHIMISHO MIAKA 60 YA JESHI LA POLISI .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 17, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 17, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment