WATU WA TATU WA FAMILIA MOJA WAUAWA KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO DODOMA .


















Watu watatu wa familia moja Wakazi wa Mtaa wa Segu Juu Jijini Dodoma wamefariki dunia kwa kile kinachodaiwa kupigwa na kuchomwa moto na watu wasiojulikana.

Waliofariki  ni watoto wawili, msaidizi  wa kazi za ndani huku mama wa watoto hao alijeruhiwa maeneo mbalimbali ya mwili wake naanaendelea  na matibabu.


Kwa mujibu wa taarifa za awali za majirani wanadai baada ya mtoto aliyenusurika katika tukio hilo kufungua mlango walikuta damu zimetapakaa kwenye nguo za marehemu hao pamoja na majeraha kwa mama wa watoto hao.
WATU WA TATU WA FAMILIA MOJA WAUAWA KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO DODOMA . WATU WA TATU WA FAMILIA MOJA  WAUAWA  KWA KUPIGWA NA KUCHOMWA MOTO  DODOMA . Reviewed by KUSAGANEWS on September 17, 2024 Rating: 5

No comments: