Mkuu wa Jeshi la Polisi nchini Camillus Wambura akipokea salamu kutoka kwa Askari wa Jeshi hilo mara baada ya kuwasili katika viwanja vya Shule ya Polisi Tanzania -Moshi mkoani Kilimanjaro ,kushiriki kwenye kilele cha maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi leo Septemba 17,2024
Mgeni rasmi ni Amiri Jeshi Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi na Usalama Rais Samia Suluhu Hassan .
Kauli mbiu ya maadhimisho ya miaka 60 ya Jeshi la Polisi ni 'Huduma bora za kipolisi kwa Umma zitapatikana kwa kubadilika kifikra ,usimamizi wa Sheria na matumizi ya TEHAMA'
SALAMU KWA IGP WAMBURA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 17, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 17, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment