Waziri wa nchi ,Ofisi ya Makamu wa Rais (Muungano wa mazingira )Dk Ashatu Kijaji amesema uwepo wa Nishati Safi ya kupikia kunamuokoa mtoto kike na athari zitokanazo na matumizi ya nishati isiyo safi kama kuni na mkaa .
Ametaja athari hizo kuwa ni pamoja na kukosa muda wa kujisomea kwa kwenda kutafuta kuni na magonjwa yatokanayo na nishati isiyo safi
Aidha ,amempongeza Rais Samia Suluhu Hassan kwa kuwa kinara wa mkakati safi ya kupikia barani Afrika ,na kuongeza kuwa mkakati huo wa matumizi ya nishati safi na salama unakwenda kuwaondoa watanzania katika kuhangaika kutafuta kuni na hivyo kutumia muda mwingi kuwekeza kwenye Shughuri za maendeleo.
KIJAJI AWATAKA WANANCHI KUTUMIA NISHATI SAFI YA KUPIKIA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 20, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 20, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment