KAGERA SUGAR VS KENGOLD ;KIPUTE CHA WALIOHOI LIGI KUU.













Ligi kuu Tanzania Bara inaendelea leo kwa michezo miwili kufanyika Kagera na Tabora .


Wageni wa ligi hiyo ,KenGold ya Mbeya baada ya kupoteza michezo 3 mfululizo itakuwa mgeni wa Kagera Sugar kwenye Uwanja wa Kaitaba  mjini Bukoba .


KenGold  ipo nafasi ya 16 mwisho wa msimamo wa Ligi  kuu haina point wakati Kagera Sugar ambayo nayo inasuasua inashika nafasi ya 15 ikiwa na point 1baada ya michezo 4 

KAGERA SUGAR VS KENGOLD ;KIPUTE CHA WALIOHOI LIGI KUU. KAGERA SUGAR VS KENGOLD ;KIPUTE CHA WALIOHOI LIGI KUU. Reviewed by KUSAGANEWS on September 20, 2024 Rating: 5

No comments: