MPANGO AWASILI ARUSHA KUHUDHURIA KONGAMANO LA KIDINI .











Makamo wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania ,Dk Philipo Mpango akisalimiana na Mkuu  wa Mkoa wa Arusha , Paul Makonda wakati alipowasili  katika uwanja wa Ndege  wa Kimataifa wa Kilimanjaro akielekea  mkoani Arusha  leo Ijumaa Septemba 20 ,2024 


Makamu wa Rais anatarajiwa kuwa mgeni rasmi katika kuhitimisha kongamano la nne la Uhuru wa Kidini la Afrika  litakalofanyika  katika Uwanja wa Sheikh Amri  Abeid jijini Arusha kesho Jumamos  Septemba 21,2024

MPANGO AWASILI ARUSHA KUHUDHURIA KONGAMANO LA KIDINI . MPANGO AWASILI ARUSHA KUHUDHURIA KONGAMANO  LA KIDINI . Reviewed by KUSAGANEWS on September 20, 2024 Rating: 5

No comments: