Wakati Jeshi a Polisi likikiri kumshikilia kada wa Chadema na mwanamitindo ,Boniface Jacob maarufu 'Boni Yai ' wakili wa chama hicho , Hekima Mwasipu amesema mteja wake amekosa dhamana .
Mwasipu amesema , Jacob anatuhumiwa kwa kosa la kusambaza taarifa za uongo na sababu za kukosa dhamana na mlalamikaji ni makao makuu ya Polisi Dodoma , hivyo Polisi Mkoa wa Kinondoni 'mikono yao imefungwa '
Msemaji wa Jeshi la Polisi David Misime katika taarifa aliyotoa jana Septemba 18 ,2024 alisema Jeshi la Polisi limemkamakata na linamshikilia Jacob, mkazi wa Mbezi Msakuzi jijini Dar es Salaam kutokana na makosa ya kijinai anayotuhumiwa nayo .
DHAMANA YA 'BONI YAI YADUNDA ,ASOTA RUMANDE .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment