Wakala wa Nishati Vijijini (REA) umetumia kiasi cha Sh billioni 100 kuwasha umeme katika vijiji 279 kati ya 306 katika mkoa wa Kigoma na kwamba taratibu za kupeleka umeme katika ngazi ya vitongoji zimeanza
Mkurugenzi Mkuu wa REA ,Mhandisi Hassan Saidy amesema wakati wa Ziara ya Mwnyekiti wa Bodi ya Nishati vijijini (REB0 Balozi Meja Jenerali (mstaafu ) Jacob kingu kukagua utekelezwaji wa miradi mbalimbali ya kupeleka umeme vijijini .
VIJIJI 279 YA 306 VYAPATA UMEME KIGOMA
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
September 19, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment