ADO AFANYA MIKUTANO YA HADHARA TUNDURU,MAANDALIZI YA UCHAGUZI.












 Septemba 2 ,na 3 2024 ,Katibu Mkuu  wa ACT Wazalendo Ado  Shaibu amefanya mikutano ya hadhara katika vijiji vya Masonya ,Nakayaya ,Ligoma ,Kalonga ,Ausilinda ,Nanjoka na N.H.C katika Majimbo ya Tunduru Kaskazini na  Tunduru Kusini ikiwa ni sehemu ya maandalizi ya uchaguzi wa Serikali za mitaa.

ADO AFANYA MIKUTANO YA HADHARA TUNDURU,MAANDALIZI YA UCHAGUZI. ADO AFANYA MIKUTANO YA HADHARA TUNDURU,MAANDALIZI  YA UCHAGUZI. Reviewed by KUSAGANEWS on September 04, 2024 Rating: 5

No comments: