TANZANIA IMESEMA ITAMUUNGA MKONO ,KENYA KAMPENI YA ODINGA AU.



 Tanzania imesema itamuuunga mkono Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya Raila Odinga katika kampeni yake ya kusaka nafasi ya mwenyekiti wa kamisheni ya Umoja wa Afrika( AU).


Taarifa ya Ikulu ya Dodoma imesema Rais Samia Suluhu Hassan atashiriki hafla ya uzinduzi wa kampeni hiyo ambayo imeandaliwa na Rais wa Kenya ,Dk. Wiliam Ruto.


Uzinduzi huo ambao bado haujatajwa tarehe utafanyika katika Ikulu ya Nairobi na umepangwa kuhudhuriwa na Wakuu wa Nchi mbalimbali.

TANZANIA IMESEMA ITAMUUNGA MKONO ,KENYA KAMPENI YA ODINGA AU. TANZANIA IMESEMA ITAMUUNGA MKONO ,KENYA KAMPENI YA ODINGA AU. Reviewed by KUSAGANEWS on August 27, 2024 Rating: 5

No comments: