Raisi Samia Suluhu Hassan amewasii katika uwanja wa ndege wa kimataifa wa Jomo Kenyatta ,Nairobi teyari kwa kuhudhuria hafla ya Uzinduzi wa Kampeni ya Waziri Mkuu wa zamani wa Kenya , Raila Amolo Odinga anayewania nafasi ya Mwenyekiti Kamisheni ya Umoja wa Afrika (AU).
Rais Samia amealikwa na Rais wa nchi hiyo Dk. William Samoei Ruto .Hafla hiyo itafanyika katika Ikulu ya Nairobi na kuhudhuriwa na Wakuu wa nchi mbalimbali leo Agosti 27,2024.
RAIS SAMIA AWASILI KENYA KUHUDHURIA HAFLA YA UZINDUZI WA KAMPENI YA ODINGA AU.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 27, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 27, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment