Msajili wa Hazima amezitaka taasisi za Umma kufikilia zaidi namna ya kuwekeza nje ya Tanzania ii kujenga uchumi wa Taifa na kujiweka katika nafasi nzuri za kiuchumi kikanda.
Akizungumza na Wanahabari jijini Arusha kuhusu Kikao Kazi cha Wenyeviti wa Bodi na Watendaji wakuu wa Tasisi za Umma ,Mchechu amesema lengo ni kuimarisha taasisi katika utoaji huduma ndani na nje ya mipaka .
Ametolea mfano taasisi zinazoweza kufanya hivyo kuwa ni pamoja na Taasisi ya Moyo ya Jakaya Kikwete (JKCI),Shirika la umeme Tanzania (TANESCO),Shirika a Reli Tanzania (TRC)na Shirika la Ndege ATCL.
MCHECHU KUITAKA TAASISI ZA UMMA KUWEKEZA NJE .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 27, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 27, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment