MAJAIWA AHUDHURIA MIAKA 50 YA IDARA YA KIST YA KARUME .









 Waziri Mkuu , Kassim Majaliwa leo Agosti 27 amemwakilisha Rais Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya miaka 50 ya Idara ya Ujenzi ya Taasisi ya Sayansi na Teknolojia ya Karume(KIST).


Hafla hiyo inafanyika katika ukumbi wa hoteli ya Golden Tulip,Zanzibar.

MAJAIWA AHUDHURIA MIAKA 50 YA IDARA YA KIST YA KARUME . MAJAIWA AHUDHURIA MIAKA 50 YA IDARA YA KIST YA KARUME . Reviewed by KUSAGANEWS on August 27, 2024 Rating: 5

No comments: