Jeshi la Polisi linawashikilia watu wawili waliosikika wakimhoji mtoto aliyejitambulisha kwa jina la Evaristo katika moja ya picha zilizosambaa katika mitandao ya kijamii.
Jeshi hilo limesema linamshikilia mtoto huyo na kuendelea na uchunguzi wa maelezo yaliyozungumzwa naye katika kipande hicho cha video akijinisabu kwa wizi wa watoto.
Katika kiande hicho cha video,mtoto huyo alisikika akijinasibu kwa wizi wa watoto akishirikiana na wenzake watatu kwa kuwarubuni kwa pipi.
'Taarifa ya kushikiliwa kwa watu hao imetolewa leo Jumatatu Agosti26,2024 na msemaji wa jeshi jilo,David misime.
POLISI IMEWASHIKILIA WATU WATATU AKIWEMO MTOTO MMOJA ANAYEDAIWA KUIBA WATOTO SITA.
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 26, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 26, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment