Kocha wa Taifa stars ,Hemed Marcco ametaja kikosi cha wachezaji 23 kitakachoingia kambini kujiandaa na michezo miwii ya kufuzu AFCON 2025 Ethiopia na Guinea.
Kikosi hicho kitaingia kambini bila ya mastaa Mbwana Samattana na Simoni Msuva ambao hawajaitwa.
Samatta na Msuva wametemwa kikosini huku beki Diksoni Job akirudishwa baada ya kuwapo na tetesi za kuwa na sintofahamu na kocha huyo.
Morocco alitolea ufafanuzi ishu ya Job akisema , 'Mimi na Job tumezungumza na yameisha salama '
JOB KURUBISHWA TAIFA STARS , SAMATTA,MSUVA WATEMWA
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 26, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 26, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment