Siku moja baada ya Mwananchi kuripoti taarifa kuhus Sarah Chaula (17),Mwanafunzi wa kidato cha tatu katika Shule ya sekondari ilumaki ,wilayani Makete Mkoa wa Njombe ,aliyeacha masomo ili awalee wadogo zake wawili,Nuru Chaula (13)na Faraja Chaula (10) hatimaye Serikali ya Wilaya ya Makete imeingilia kati.
Mtoto huyo mkazi wa kijiji cha Ugabwa ,alilazimika kufanya hivyo baada ya wazazi wake kuondoka nyumbani kwa sababu tofauti,ikiwamo ya baba kutofautiana na mama baadaye mama kukimbia kutokana na deni la sh millioni 2 linaodaiwa kusababishwa na mtoto wao wa kiume .
hivyo serikali imewachukulia hatua za kumrejesha Chaula shuleni aendeleee na masomo yake katika shule hiyo.
MWANAFUNZI ALIYEACHA SHULE ALEE WADOGO ZAKE, DC AJITOA KUMSAIDIA .
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 26, 2024
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 26, 2024
Rating:


No comments:
Post a Comment