MBOWE AMTAKA RAIS SAMIA KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA MADAI YAWAIOTEKWA.



 Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA ),Freeman Mbowe amemtaka Raisi Samia Suluhu Hassan ,kuunda tume ya kihakama ya majaji ili kuchunguza madai ya watu waliotekwa na kupotea nchini.


Mwenyekiti wa CHADEMA Mbowe ameyasema hayo leo Ahamis 22,2024 alipokuwa akizungumza na waandishi wa habari makao makuu ya chama hicho ,mikocheni jijini Dar es salaam .


Aidha ,Mbowe amemuagiza Katibu Mkuu wa chama hicho, John Mnyika kumwandikia waraka maalum ,Rais Samia juu ya suala hilo. ' Raisi chukua hatua ,watanzania wanaumia ,wanauwawa'akisema kuwa kama hatopewa taarifa na wasaidizi wake ,basi waraka huo umfikie moja kwa moja .

MBOWE AMTAKA RAIS SAMIA KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA MADAI YAWAIOTEKWA. MBOWE AMTAKA RAIS  SAMIA  KUUNDA TUME YA KUCHUNGUZA MADAI YAWAIOTEKWA. Reviewed by KUSAGANEWS on August 22, 2024 Rating: 5

No comments: