KUTOKANA NA MAREKEBISHO YANAOENDELEA KWENYE UWANJA ,YANGA ,VITAL'OZABADILISHA UWANJA KUIGWA AZAM COMPLEX.








 Mchezo wa marudio baina ya Yanga dhidi ya Vital'O ya Burundi utachezwa uwanja wa Azam Complex badala ya ule wa Benjamin Mkapa kama ilivyokuwa imepangwa hapo awali.


Hayo yamesemwa na Raisi wa Yanga , Mhandishi Heris Said leo Agosti 21,2024 wakati akifanya mahojiano maalumu katika kipindi cha radio ya wasafi .


'Kutokana na marekebisho yanaoendelea kwenye uwanja wa Mkapa ,mechi hii ya marudiano dhidi ya Vital'O, hatutaweza cheza tena katika uwanja wa Mkapa ,tutacheza katika uwanja wa Azam Complex ,Jumamos majira ya saa 1:00 jion.



KUTOKANA NA MAREKEBISHO YANAOENDELEA KWENYE UWANJA ,YANGA ,VITAL'OZABADILISHA UWANJA KUIGWA AZAM COMPLEX. KUTOKANA NA MAREKEBISHO YANAOENDELEA KWENYE UWANJA ,YANGA ,VITAL'OZABADILISHA UWANJA KUIGWA AZAM COMPLEX. Reviewed by KUSAGANEWS on August 22, 2024 Rating: 5

No comments: