Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro, akiwa
ameongozana na Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Godfrey Mheluka, wakati alipowasili
wilayani humo mkoani kagera kwa ziara ya kikazi leo 31/10/2018. Picha na Jeshi la Polisi.
Mkuu wa Jeshi la Polisi IGP Simon Sirro,
akimsikiliza Mkuu wa Wilaya ya Karagwe Godfrey Mheluka (kulia) muda mfupi baada
ya kuwasili wilayani humo mkoani Kagera kwa ziara ya kikazi. Picha na Jeshi la Polisi.
IGP SIRRO AFANYA ZIARA YA KIKAZI WILAYANI KARAGWE MKOANI KAGERA
Reviewed by KUSAGANEWS
on
October 31, 2018
Rating: 5
No comments:
Post a Comment