Mbwa wa kazi maalum za Bandari ya Dar es Salaam anayedaiwa
kutoweka katika mazingira ya kutatanisha, alikuwa kwenye mafunzo bwalo la
Polisi
Hayo yameelezwa leo Agosti Mosi na Msemaji wa Jeshi la
Polisi, Barnabas Mwakalukwa katika mkutano na wanahabari
Amezungumza hayo huku ukumbini hapo kukiwa na mbwa wawili wa
polisi, akiwamo anayedaiwa kutoweka
Amesema kulikuwa na mkanganyiko na hakuna mbwa aliyepotea
“Tunataka kuwaambia kuwa mbwa huyo alikuwa kwenye mafunzo ya
bwalo la Polisi na mbwa aliyekuwa hayupo siyo hobi,” amesema Mwakalukwa na
kuongeza
“Mbwa wote wapo hakuna hata mmoja aliyetoweka huwa wanaenda
kwenye kazi na kurudi.”
Julai mwaka huu, Waziri wa Mambo ya Ndani, Kangi Lugola
alimpa saa saba Mkuu wa Jeshi la Polisi, (IGP) Simon Sirro kuhakikisha mbwa
huyo anarudi bandarini baada ya kupotea katika mazingira ya kutatanisha

Polisi wasema mbwa ‘aliyepotea’ alikuwa darasani
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 01, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
August 01, 2018
Rating:

No comments:
Post a Comment