IGP Sirro Adai Mwanahabari alimkaba Askari Polisi

Mkuu wa Jeshi la Polisi Nchini IGP Simon Siirro amesema kuwa Mwandishi wa habari aliyepigwa Siku ya Mechi ya Simba na Asante Kotoko ya Ghana alikuwa mbishi na alimkaba Askari Polisi akitaka kuingia sehemu ambayo imekataliwa kuingia Ndipo askari wakawa na hasira na kuanza kuvutana ndipo ugomvi Ukiaanza.

BONYEZA  HAPO CHINI KUTAZAMA ALICHOKISEMA  IGP  SIRRO
.
Sirro amesema kuwa mwanzo inaonekana mwanahabari alifanya vurugu na jalada lazima lifunguliwe pamoja na askari polisi waliokuwa wanampiga upelelezi utafanyika ili kuchukua hatua kwa sababu kila jmbo linataka upelelezi.

Amesema kuwa Mwanahabari Alivua shati Mwenyewe na kuanguka chini kasha kukimbia mbele kwenye kioo cha camera ili kuonekana amepigwa jambo ambalo siyo sahihi.


IGP Sirro Adai Mwanahabari alimkaba Askari Polisi IGP Sirro Adai Mwanahabari  alimkaba Askari Polisi Reviewed by KUSAGANEWS on August 16, 2018 Rating: 5

No comments: