Leo Jumapili Julai Mosi, 2018 Mwigulu Nchemba alipaswa kuwa
mgeni rasmi katiba ibada ya kuombea Taifa mkoani hapa, lakini ameshindwa
kushiriki baada ya kuachwa katika mabadiliko ya baraza la mawaziri yaliyotangazwa
leo na Katibu Mkuu Kiongozi, Balozi John Kijazi
Kufuatia hali hiyo, Mkuu wa Mkoa wa Kigoma, Emanuel Maganga
amehudhiria ibada hiyo badala ya Mwigulu. Ibada hiyo inafanyika katika uwanja
wa Mwanga Center mkoani hapa
Mwiguli yupo mkoani Kigoma kwa ziara ya kikazi na leo saa 6
mchana alitembelea bandari ndogo ya Kibirizi
Akiwa katika bandari hiyo, Mwigulu amesema Serikali ipo
tayari kuwarudisha makwao wakimbizi walio tayari
RC Kigoma amwakilisha Mwigulu ibada ya kuombea amani
Reviewed by KUSAGANEWS
on
July 01, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
July 01, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment