Rais John Magufuli amefanya mabadiliko ya wakuu wa mikoa, wa
wilaya na makatibu tawala nchini huku akiwateua wanasiasa watatu waliowahi kuwa
vyama vya upinzani katika nafasi hizo
Akitangaza mabadiliko hayo leo Julai 28, Rais Magufuli
amemteua David Kafulila kuwa Katibu Tawala Mkoa wa Songwe
Kafulila aliwahi kuwa mbunge wa NCCR-Mageuzi kabla ya
kuhamia CCM
Pia amemteua Moses Machali kuwa Mkuu wa Wilaya ya N
anyumbu. Machali aliwahi mbunge wa Kasulu Mjini,
(NCCR-Mageuzi) kabla ya kuhamia ACT-Wazalendo na baadaye CCM
Kadhalika Rais Magufuli amemteua Patrobas Katambi kuwa Mkuu
wa Wilaya ya Dodoma. Katambi alikuwa Mwenyekiti wa Baraza la Vijana la Chadema
Rais Magufuli awateua ‘wapinzani’ nafasi za Ukuu wa wilaya
Reviewed by KUSAGANEWS
on
July 28, 2018
Rating:
Reviewed by KUSAGANEWS
on
July 28, 2018
Rating:


No comments:
Post a Comment